Search Open Account Branches Zakat Calculator Amana Bank Mtaani Facebook Instagram Linkedin
Digital Banking
Amana Bank Mtaani

Je umechoka kwenda umbali mrefu kwa ajili ya kuweka na kutoa pesa kwenye matawi yetu? Sasa tumekurahisishia! Kwa gharama nafuu, sasa unaweza kuweka na kutoa pesa kwenye akaunti yako kupitia mawakala wetu wa Amana Benki Mtaani. Kupata orodha ya mawakala wetu,TAFADHALI BOFYA HAPA

 
Mahitaji Muhimu kuwa Wakala wa Amana Bank Mtaani

-Unahitaji kuwa na utambulisho wa mlipa kodi.

-Nakala ya utambulisho kama vile:Leseni mpya ya udereva,hati ya kusafiria au kitambulisho cha Taifa.

-Picha mbili saizi ya pasipoti.

-Barua ya utambulisho kutoka kwenye serikali za mitaa au kithibitisho cha eneo la biashara,mf;Picha ya eneo la biashara.

-Nakala ya Leseni ya biashara ya Mwaka husika.

-Nakala za Leseni zilizo na uzoefu wa biashara husika kwa miaka 2 ya nyuma.

 

x

Download Amana Bank App here →
appstore playstore