Mnamo 31/7/2019, Meneja huduma kwa wateja Bi.Sophia Mageni na meneja wa tawi la Amana Bank-Tandamti Bw.Juma Yamilinga mapema walipotembelea moja ya ofisi inayojishughulisha na kusafirisha mahujaji taasisi ya Tawheed kwaajili ya kuwaaga mahujaji na kuwatakia safari njema ya kwenda Hijja.