Mnamo 24/7/2019,Wafanyakazi wa Amana Bank meneja huduma kwa wateja Bi.Sophia Mageni na meneja tawi la Amana Bank-Nyerere Bi.Aisha Awadhi walipofika katika Uwanja wa Ndege wa kimataifa JNIA, kuzungumza na kuwaaga mahujaji wa taasisi ya Labbaik kwa kuwatakia safari njema ya kwenda ibada ya Hijja.
Meneja tawi la Amana Bank-Nyerere Bi.Aisha Awadhi akikabidhi zawadi kwa mahujaji wa taasisi ya Labbaik
Meneja huduma kwa wateja Bi.Sophia Mageni akizungumza na mahujaji kwa kuwatakia safari njema katika ibada za Hajj