Search Open Account Branches Zakat Calculator FAQs Facebook Instagram
Digital Banking
Amana Bank Mtaani

Je umechoka kwenda umbali mrefu kwa ajili ya kuweka na kutoa pesa kwenye matawi yetu? Sasa tumekurahisishia! Kwa gharama nafuu, sasa unaweza kuweka na kutoa pesa kwenye akaunti yako kupitia mawakala wetu wa Amana Benki Mtaani. Kupata orodha ya mawakala wetu, Tafadhali Bofya Hapa.

 

Mahitaji kuwa Wakala wa Amana Bank Mtaani:

-Unahitaji kuwa na utambulisho wa mlipa kodi

-Nakala ya utambulisho kama vile:Leseni mpya ya udereva,hati ya kusafiria au kitambulisho cha Taifa.

-Picha mbili saizi ya pasipoti

-Barua ya utambulisho kutoka kwenye serikali za mitaa au kithibitisho cha eneo la biashara,mf;Pich ya eneo la biashara

-Nakala ya Leseni ya biashara ya Mwaka husika

-Nakala ya Leseni zilizo na uoefu wa biashara husika kwa miaka miwili ya nyuma

 

Maombi yanaweza kuwasilishwa kwa barua pepe: agencybanking@amanabank.co.tz

 

 

x